Mahali Panapoitwa Nyumbani

Kona ya Mambo yote

Wednesday, March 30, 2011

Baby Laughing Hysterically at Ripping Paper (Original)

Posted by Jd at 10:04 PM No comments:
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest
Home
Subscribe to: Posts (Atom)

About Me

My photo
Jd
Ninashukuru kwa wewe kutembelea kwenye kurasa hii ambayo ni sawa na kutimiza ndoto zangu za kufanya mawazo na fikra zangu kusomwa na watu, Mwanzo haikuwa kazi rahisi ila kutokana na Ndugu na Marafiki kuwa karibu na kunipa moyo hatimaye nimeweza kurusha kurasa hii hewani.Ninaitwa Jennifer , ni mtoto wa kwanza kutoka familia ndogo ya wasichana wawili. Ni mtu wa kawaida sana na ni rafiki wa kila mtu. Rafiki na ndugu zangu hunielezea kama mtu anayependa kuishi kwa kutumia sheria na matakwa binafsi, naamaanisha ninapenda niishi kama mimi na sio watu wanavyotaka mimi niishi, sipendi maigizo katika maisha. Ninajua kitu gani ninataka na kila siku nimejitahidi kufanya niwezavyo ili kutimiza malengo yangu. Naamini sina maadui ila nina watu wasionielewa. Ndoto zangu siku zote ni kufanya kazi au kitu chochote kinachoweza kubadilisha maisha ya mtu mwingine kwa nia njema na hii haijalishi kiwango au muda gani ninaweza kuleta mabadiliko hayo. Napenda sana kupendwa, kusafiri, kupata marafiki wapya, kufanya kazi kwa kushirikiana ,kuchat na kujadili mambo mbalimbali, kufurahi na marafiki huku tukipata vinywaji na kuangalia sinema mbalimbali .
View my complete profile

Habari - Tanzania

  • Global Publisher
  • Mwananchi
  • Tanzania Daima
  • IPP

Kazi zangu

  • MJ Candles
  • Chadema - Musoma

Site mbalimbali za Nje ya Tanzania

  • Wedding preparation
  • US superstars news
  • HIV issues
  • Yahoo

Maktaba Yetu

  • ▼  2011 (1)
    • ▼  March (1)
      • Baby Laughing Hysterically at Ripping Paper (Origi...
Designed by Chinga1. Picture Window theme. Powered by Blogger.